
Keki inayowakilisha ramani ya afrika kama inavyoonekana Princess lummy akiwakilisha moja watu kutoka afrika sherehe hizo zilifanyika huko New York,USA mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Ban Ki Moon.

Bw.Ban Ki Moon akihutubia katika sherehe hizo

Hapa mabalozi wakiwa na wake zao katika sherehe hizo na Mama Lummy hakukosekana


Princess Lummy wa kati akiwa na Balozi kutoka nchini Ethiopia akiwa na mkewe pembeni kabisa

Princess Lummy kama kawaida yake akiwa katika viwanja vyake huyu anasifika sana kwenye kutunga mashairi nafikir anataka kumkamata Mrisho mpoto

Princess Lummy akiwakilisha Uafrika wake mpaka kwenye mapambo yake ya mwilini

Ngoma ya asili ya kinigeria nayo ilikuwa ni moja ya burudani katika sherehe hizo


Kutoka kushoto ni Balozi wa Nigeria Nchini Marekani kati ni Princess Lummy Mwisho kabisa Mama Lummy
1 comments:
wow thus awesome
Post a Comment