Jeshi la Marekani limeungana na jitihada la kuzuia mafuta yanayovuka kutoka kisima kimoja yasisambae katika Ghuba ya Mexico.Kiasi cha mafuta mara tano zaidi yaliyokadiriwa awali uenda yakawa yanavuja kutoka kwenye kisima ambako mtambo wa kuchimbia mafuta ulilipuka na kuzama juma lililopita.
Mafuta yatishia mazingira Marekani kusini
Jeshi la Marekani limeungana na jitihada la kuzuia mafuta yanayovuka kutoka kisima kimoja yasisambae katika Ghuba ya Mexico.Kiasi cha mafuta mara tano zaidi yaliyokadiriwa awali uenda yakawa yanavuja kutoka kwenye kisima ambako mtambo wa kuchimbia mafuta ulilipuka na kuzama juma lililopita.

0 comments:
Post a Comment