Searching...
Saturday, May 1, 2010

Takriban watu 20 wafa maji Tanzania

Zaid ya abiria 20 wanahofiwa kufa maji katika mkoa wa Mtwara kusini mwa Tanzania kutokana na ajali ya boti ambayo haijajulikana jina lake.Wakati akzi ya uokoaji ikiendelea,mmiliki wa boti hiyo ambaye jina halijajulikana mpaka sasa amekimbia pamoja na kaptein wake.
Boti hiyo kutokana na kamanda Buyoya inauwezo wa kubeba abiria 18 lakinipia hujikuta ikijaa kutokana na mizigo ikiwemo baiskeli.
Boti hiyo inayomilikiwa na mtu binafsi aghlabu kubeba wavuvi na wachuuzi wadogo wadogo.Shughuli ya kuokoa watu inaendelea.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!