
Leo tarehe 23 May ni siku ya kuzaliwa Dada HINDU BAKARI wa Wichita,kansas USA.
Blog hii inaungana na familia yake,ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha,amani na upendo.
Mungu amjalie hekima na busara katika siku za maisha yake.
HAPPY BIRTHDAY HINDU!!!!!!!!!!
0 comments:
Post a Comment