Searching...
Sunday, September 12, 2010

BAADHI YA WANAFUNZI WAISHIO HYDERABAD WALIPOPATA CHAI YA PAMOJA SIKU YA EID FITRI

Chai ya asubuhi ya Eid kama inavyoonekana vitafunwa vyake vilivyokuwa mambo haya ni baada ya kumalizika sala ya Eid 
Vilikuwa ni vya kutosha pembeni wakipata na juisi ya nanasi 
Hao ndio wadau wenyewe wakipata chai ya asubuhi siku ya Eid
 
Mjomba Nass(mwenye kilemba na kanzu nyeupe) akiongoza kikosi kizima cha wanatolichoki siku ya Eid pembeni yake ni M/kiti mstaafu Mh.Saddallah Mbeyu na pembeni yake ni Bw.Blest
  
Mwenye barakashia kwa mbele ni M/kiti wa jumuiya wa watanzania waishio hyderebad Mh.Abdillah D.Nkya nae alikuwepo kwenye chai na upande wa kulia mwenye kikombe cha chai ni mie pembeni yangu kushoto ni Bw.Abdull-aziz ni Tanga line
  
Toka kulia ni Sharif Nour anaefuata ni Mjomba Nass akiwa na M/kiti Mstaafu mwisho kabisa ni Bw.Blest
Toka kushoto ni Bw.Mustafa a.k.a Matata kati M/kiti Mstaafu Bw.Saddallah Mbeyu na mwisho kabisa ni Bw.Makwinya wakipata picha ya pamoja baada ya chai ya asubuhi siku ya Eid Fitri




 


0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!