ASSALAAM ALEIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATTU
HAKIKA LEO NI SIKU NYINGINE YENYE REHMA NYINGI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA IBADA YA FUNGA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.
HAKIKA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI NA KILA KILICHOMO NDANI YAKE AMETUJAALIA KUFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KWA KUDRA ZAKE NA KWA IMANI YA KWAMBA DUA ZETU NA IBADA ZETU ZOTE ZIMEPOKELEWE KWAKE.AMIN
BLOG HII INAUNGANA NA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO KWA KUWATAKIA EID NJEMA
0 comments:
Post a Comment