Searching...
Tuesday, July 20, 2010

Mkutano wa maandalizi ya mkutano wa wakuu wa Umoja wa Afrika wafuatilia suala la usalama

Mkutano wa maandalizi ya mkutano wa 15 wa wakuu wa Umoja wa Afrika ulifunguliwa tarehe 19 huko Kampala, Uganda. Kauli mbiu ya mkutano huo ni afya na maendeleo ya waja wazito na watoto barani Afrika, lakini kutokana milipuko iliyotokea hivi karibuni huko Kampala, suala la amani na usalama lilifuatiliwa na washiriki wa mkutano huo.

Kwenye ufunguzi wa mkutano wa wajumbe wa kudumu wa kamati ya Umoja wa Afrika, waziri wa mambo ya nje wa Uganda Bw. Sam Kutesa alisema nchi za Afrika zinapaswa kufanya juhudi kwa pamoja ili kuweka

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!