Leo tarehe 21 July ni siku ya kuzaliwa Dada FARIDA ABDALLAH SEIF wa Hyderabad,India.
Blog hii inaungana na familia yake,ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha,amani na upendo.
Mungu amjalie hekima na busara katika siku za maisha yake.

HAPPY FARIDA ABDALLAH SEIF!!!!!!!!!!
0 comments:
Post a Comment