Home
»
Unlabelled
» Simba uwanjani leo na Haras el Hadoud ya misri
kikosi cha timu ya simba Mabingwa wa ligi kuu na wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho,Simba leo watakuwa na kibarua dhidi ya Haras El Hadoud ya Misri katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Taifa, Dar-es-salaam.
0 comments:
Post a Comment