Usiku wa kuamkia leo mtu mmoja ameuwawa kinyama na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa pale reilini tabata jijini Dar.marehemu amejulikana kwa jina la Hassani Yahya Dimoso(49)ambaye ameuwawa kwa kukatwa na mapanga kichwani.
.....marehemu Hassani akiwa na jeraha kubwa kichwani kama alivyokutwa eneo la tukio asubuhi ya leo.
umati wa watu eneo la tukio.......
......mke wa marehemu akilia kwa uchungu kabla ya kuzimia eneo la tukio.
0 comments:
Post a Comment