vijana wa kazi wa huduma ya siri wakiingia uwanja wa taifa
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria sherehe za muungano uwanja wa taifa
Rais mstaafu Benjamin w. Mkapa akiwa na spika wa bunge Mh.Samwel Sitta na kulia ni mama Shadya Karume.
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa na waziri kiongozi wa Zanzibar,Mh.Shamsi Vuai Nahodha (shoto) na jaji mkuu,Mh. Augustino Ramadhani.
Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa akiwa na spika wa baraza la wawakilishi Zanzibar,Mh.Kificho akiwa na spika wa bunge la jamhuri Mh,Samwel Sitta na mama Shadya Karume.
Mh,Lucy Mayenga mbunge wa kuteuliwa akiwa shereheni
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba akiwa na Katibu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakiwa na wahudhuriaji wengine.
Sehemu ya mabalozi wa nchi mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment