JK akipungia mkono umati mkubwa wa wananchi waliofurika katika uwanja wa taifa jijini Dar kwa kusherehekea miaka 46 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.pembeni yake ni mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange.
JK akikaribishwa jukwaa kuu na Rais wa Zanzibar,Mh.Amani Abeid Karume,kushoto ni Waziri mkuu Mh,Mizengo Pinda.
JK akikagua gwaride rasmi la kuhadhimisha miaka 46 ya muungano
Wakuu wakiwa jukwaa kuu
JK akisalimiana na spika wa bunge la Jamhri ya muungano Mh.Samwel Sitta.kati yao nia Rais matssafu wa awamu ya tatu Mh.Benjamin Makapa.
0 comments:
Post a Comment