Rais Jakaya Kikwete ambaye ndiye mgeni rasmi wa maadhimisho ya tamasha la malaria Duniani lililofanyika kimataifa leo kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar,akisoma hotuba mbele ya wananchi waliofurika kwa wingi wakiwemo wanfunzi wa shule mbalimbali za sekondari.
Waziri wa wizara ya afya Mh. David mwakyusa akisoma hotuba iliyoandaliwa kwa ajili ya siku ya maadhimisho ya malaria Duniani mbele ya wananchi waliofurika kwa wingi leo mchana katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar.
Wananchi waliofurika viwanjani hapo leo mchana huku jua kali likiwaka kwa kuadhimisha siku ya malaria Duniani.
0 comments:
Post a Comment