Searching...
Saturday, April 24, 2010

sehenu za kihistoria nchini india

golconda fort ni moja ya sehemu za kihistoria nchini india ambayo inapatikana katika state ya andhara pradesh mji wa hyderabad.
hiyoo hapo juu ni charminar sehemu ambayo waarabu walifika kipindi cha ukoloni,hiyoo ni minara minne ni maarufu sana mjini hapa
ni baadhi ya shughuli zikiendelea charminar,ona watoto wadogo nchini india wanavyopigania maisha
moja ya sehemu ambayo walikuwa wakifugwa tembo zamani
watoto wa shule wakifundishwa historia ya nchini kwao,india
hii ni moja ya sehemu za ibada nchini india ni maarufu kama,temple
hii nayo vile vile ni moja ya sehemu ya ibada ipo mbembezoni mwa bahari mji wa goa nayo ni maarufu kama temple watu uangukia hapo kwa maombi yao yote na wahindi wana imani haoo.uwezi amini kweli tembea uyaone.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!