rais jakaya kikwete kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya malaria duniani
Waziri wa afya na ustawi wa jamii Prof.David Mwakyusa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo kuhusiana na maadhimisho ya siku ya malaria ambapo tanzania imeteuliwa kuwa ndipo mahala itakapoadhimishwa siku ya malaria duniani kimataifa
0 comments:
Post a Comment