JK amtembelea Mbunge Kimaro Hospitalini Muhimbili
JK akizungumza asubuhi ya leo na Mbunge wa vunjo (CCM) Aloyce kimaro aliyelazwa katika hospital ya muhimbili jijini Dar baada ua kuugua shinikizo la damu juzi akiwa bungeni mjini dodoma katikati ya wiki hii.
0 comments:
Post a Comment