Searching...
Saturday, November 15, 2014

RONALDO AIBEBA URENO, APIGA BAO AWEKA REKODI YA MABAO

Cristiano Ronaldo amefunga bao pekee wakati Ureno ilipoichapa Armenia kwa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa jana.

Maana yake kwa mashindano ya Ulaya kwa timu za taifa ukwa upande wa hatua ya awali hadi mashindano ya Euro, Rpnaldo anakuwa na mabao 23 ambayo ni mengi zaidi ya raia wa Denmark, Jon Dahl Tomasson ambaye tayari amestaafu.
Portugal: Patricio, Bosingwa, Pepe, Carvalho, Guerreiro, Nani (Carvalho), Moutinho, Tiago, Ronaldo, Postiga (Eder), Danny (Quaresma).
Subs: Lopes, Alves, Fonte, Vieirinha, Gomes, Mario, Gomes, Soares, Beto.
Booked:  Pepe, Carvalho, Tiago, Danny, Carvalho
Scorer: Ronaldo 71' 
Armenia: Berezovsky, Hovhannisyan, Haroyan, Arzumanyan, Taron Voskanyan, Hayrapetyan, Mkrtchyan (Pizzelli), Mkhitaryan, Yedigaryan (Sarkisov), Ghazaryan (Manucharyan), Movsisyan. 
Subs: Kasparov, Masis Voskanyan, Hovsepyan, Mkoyan, Aslanyan-Mamedov, Hambardzumyan, Karapetyan, Simonyan, Beglaryan.
Booked: Yedigaryan, Arzumanyan 
Referee: Tasos Sidiropoulos
Att: 28,000 









0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!