Searching...
Friday, November 14, 2014

Manchester United njiani kumsajili kinda wa Kibrazili Douglas Coutinho


Mwakilishi wake kusafiri mpaka ulaya wiki ijayo kwa maongezi zaidi na klabu ya Manchester United juu ya maisha yake ya baadae ya soka ndani ya klabu hiyo,kinda hilo linagharama la kiasi cha paundi 7.5million.


Louis van Gaal akionesha hana wasiwasi kwa kuwapa makinda nafasi ya kucheza pindi wanapojiunga na mashetani wekundu.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!