MANCHESTER
United ya Louis Van Gaal imeanza ligi. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema
kufuatia Mashetani hao Wekundu kuifumua mabao 4-0 QPR katika mchezo wa
Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford.
Winga Muargentina, Angel di Maria ndiye aliyefungua pati la mabao United leo baada ya kufunga bao la kwanza kwa mpira wa adhabu dakika ya 24.
Ander Herrera akaifungia Manchester United bao la pili dakika ya 35 kabla ya Wayne Rooney kufunga la tatu dakika ya 44 na Juan Mata akapiga la nne dakika ya 58.
Radamel Falcao alianzia benchi, akaingia dakika ya 67 kuchukua nafasi ya Juan Mata.
Kikosi cha Man Utd kilikuwa: De Gea, Rafael/Valencia dk67, Evans, Rojo, Blackett, Blind, Herrera, Mata, Di Maria/Januzaj dk82, Rooney, Van Persie
QPR: Green, Isla, Ferdinand, Caulker, Hill/Traore dk46, Sandro/Henry dk74, Kranjcar, Fer, Phillips, Austin/Vagas dk59, Hoilett.

Angela Di Maria akishangilia na Wayne Rooney baada ya kufunga bao la kwanza |
Ander Herrera akaifungia Manchester United bao la pili dakika ya 35 kabla ya Wayne Rooney kufunga la tatu dakika ya 44 na Juan Mata akapiga la nne dakika ya 58.
Radamel Falcao alianzia benchi, akaingia dakika ya 67 kuchukua nafasi ya Juan Mata.
Kikosi cha Man Utd kilikuwa: De Gea, Rafael/Valencia dk67, Evans, Rojo, Blackett, Blind, Herrera, Mata, Di Maria/Januzaj dk82, Rooney, Van Persie
QPR: Green, Isla, Ferdinand, Caulker, Hill/Traore dk46, Sandro/Henry dk74, Kranjcar, Fer, Phillips, Austin/Vagas dk59, Hoilett.
0 comments:
Post a Comment