BAO pekee la Willian limeipa ushindi wa 1-0 Brazil katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana mjini New Jersey, Marekani.
Kiungo huyo wa Chelsea, alifunga bao hilo akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na Neymar dakika ya 31 na kuifanya Brazil ishinde mechi ya pili mfululizo tangu kocha Carlos Dunga arejee.
Kikosi cha Brazil kilikuwa: Jefferson, Danilo/Gil dk90, Miranda, Marquinhos, Luis, Gustavo/Fernandinho dk74, Ramires/Elias dk69, Oscar/Everton Ribeiro dk46, Willian/Ricardo Goulart dk46, Diego Tardelli/Philippe Coutinho dk67 na Neymar.
Ecuador: Dominguez, Paredes, Erazo, Canga, Ayovi, Noboa, Castillo, Ibarra/Martinez dk83, Cazares Sevillano/Angulo dk83, Sornoza/Rojas dk46 na Valencia.

0 comments:
Post a Comment