Searching...
Thursday, August 21, 2014

PIGO ARSENAL, NAHODHA ARTETA NJE MECHI YA MARUDIANO NA WATURUKI LIGI YA MABINGWA

NAHODHA wa Arsenal, Mikel Arteta atakosa mechi mbili zijazo za klabu yake baada ya kuumia kifundo cha mguu katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Besiktas.
Nyota huyo wa Arsenal alitolewa nje dakika ya 50 kwenye Uwanja wa Olympic Ataturk baada ya kuumizwa na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Demba Ba.
Arsenal pia itamkosa nyota wake mwingine, Aaron Ramsey katika mchezo wa marudiano na timu hiyo ya Uturuki, baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya nano kipindi cha kwanza dhidi ya Beskitas.

Majeruhi: Kiungo wa Arsenal, Mikel Arteta atakosa mechi mbili zijazo za The Gunners 

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!