Searching...
Thursday, August 21, 2014

LIVERPOOL YARUDISHA MAJESHI KUIWINDA SAINI YA MTUKUTU MARIO BALOTELLI

Super Mario: Balotelli left the Premier League in 2013, but could be on his way back
Super Mario: Balotelli aliondoka ligi kuu England mwaka 2013, lakini anaweza kurudi
KATIKA hali ya kushangaza Liverpool wamerudi tena kuiwania saini ya Mtukutu Mario Balotelli kwa mkopo.
Mwezi uliopita Brendan Rodgers alisema Liverpool haiwezi kumsajili mshambiliaji huyo wa Italia, lakini amebadili moyo wake.
Change of heart? Rodgers had previously said he would not be signing the Italian striker
Amebadili moyo? Rodgers awali alisema hawezi kumsajili mshambuliaji huyo wa Italia 
Rodgers sasa anaangalia uwezekano wa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 24 baada ya kushindwa kufanikiwa katika dili alizotaka.
Milan watapenda usajili wa kudumu ili kuondokana na mchezaji huyo mwenye matatizo ya kinidhamu.
Wakala wa Balotelli, Mino Raiola amesafiri kwenda England kutaka kuzungumza na Liverpool na kuona kama kuna klabu nyinginie zinamhitaji.
Tangu amerudi Italia, amefunga mabao 30 katika mechi 54 alizocheza, idadi sawa na yale aliyofunga akiwa Man City katika mechi 80 alizoshuka dimbani.
Striker: Balotelli scored 30 goals in 80 games for City before moving back to Italy
Mshambuliaji: Balotelli aliifungia Man City mabao 30 katika mechi 8o kabla ya kwenda Italia

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!