Searching...
Wednesday, August 13, 2014

EVERTON YASAJILI WINGA MGHANA WA CHELSEA

KLABU ya Everton imekubali kumsajili kwa mkopo wa muda mrefu kiungo wa Chelsea, Christian Atsu, kwa mujibu wa kocha Roberto Martinez.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ghana sasa anakwenda kupiga kazi Goodison Park kwa msimu wote wa 2014/2015, kitu ambacho sasa Martinez amethibitisha.
Utaratibu wa mkopo umefikiwa baina ya timu hizo mbili, huku kigali cha kufanya kazi kikibaki kuwa kitu pekee kinachomchelewesha Atsu kuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na Everton msimu huu.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!