Searching...
Tuesday, April 22, 2014

MJADALA: NANI ANAFAA KUWA KOCHA AJAYE WA MAN UNITED KATI YA HAWA

Who could replace David Moyes?
Baada ya David Moyes kufukuzwa kazi katika klabu ya Manchester United habari kubwa inayosubiriwa kwa hamu ni kocha gani atakekuja Old Trafford msimu ujao kuziba nafasi iliyoachwa wazi na David Moyes.
Majina mengi yanatajwa lakini majina ya kocha wa Uholanzi anayemaliza muda baada ya fainali za kombe la dunia Louis Van Gaal, Ryan Giggs, Jurgen Klopp, Laurent Blanc, Diego Simeone, Robert Martinez na Carlos Quieroz.
JE KATI YA HAWA UNADHANI NI  NANI ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA MOYES
  • Louis van Gaal
  • Jurgen Klopp
  • Ryan Giggs
  • Laurent Blanc
  • Diego Simeone
  • Roberto Martinez
  • Carlos Quieroz

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!