Searching...
Saturday, April 20, 2013

Wanawake london Kugomea Show ya Diamond Baada ya Kumzalilisha Wema

Baada ya Diamond kusambaza clip ambayo inasikika Wema Akiongea nae ambayo Diamond Amesema kuwa Wema Alikuwa anajitongozesha...Mange Kimambi Ametoa Wito kwa wanawake wote walioko London Kutokwenda show ya Diamond akienda kufanya Show huko kwa vile alimzalilisha mwanamke mwenzao....

"PS: Alafu bado utaona kunamijanamke huko London itavaa kabisa nguo na kujipaka ma makeup kwenye kumkatia Diamond viuno kwenye show... Ladies lets stand together...
tutadhalilishwa mpaka lini na hawa watu.....embu tuonyeshe mfano hapa......HAKUNA MWANAMKE KWENDA KWENYE SHOW YA DIAMOND HUKO LONDON..
ATAKAE KWENDA NTUMIENI PICHA YAKE HUMU TUMJUE.......ILA GUYS Seriously huyu jamaa kavuka mipaka tumfanye mfano kwa wenzie" Mange Kimambi

Edited:by Abuu

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!