Searching...
Friday, October 5, 2012

JK awasili Edmonto, wadau wampokea kwa shangwe

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (shoto0 na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Bertha Somi na mtoto Alice wakiwa pamoja na baadhi ya wadau wa Jumuiya ya Watanzania waishio Canada wakisubiri kwa hamu kumpokea Rais Jakaya Kikwete katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Edmonton  usiku wa kuamkia leo
Rais Jakaya Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Alice (9) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Edmonton  usiku wa kuamkia leo. Pamoja na shughuli zingine Rais Kiwkete atafungua rasmi mkutano wa Diaspora baadaye leo katika ukumbi wa  Fantasyland Hotel katika chakula cha usiku ambacho wanajumuiya hao wameandaa kwa heshima yake
 Taswira za wadau wa Canada wakimpokea kwa furaha Rais Kikwete alipowasili Edmonton usiku wa kuamkia leo


0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!