Searching...
Friday, June 22, 2012

Wadau Kumradhi kwa picha hizi:lori laua wawili na kujeruhi vibaya wengine nane kibaoni-tegeta jijini dar leo

Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakisaidiani na polisi kuupakiza mwili wa mmoja wa mwananchi kwenye gari kati ya watu waliokufa katika  ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki  na kuacha  barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.

Wananchi wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakijaribu kutoa mwili wa mmoja wa mwananchi kati ya watu waliokufa katika  ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki  na kuacha  barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!