Searching...
Tuesday, December 6, 2011

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akagua Hatua Za Awali Za Ujenzi Wa Majengo Ya Chuo Kikuu Cha Taifa

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia mandhari ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa kampuni ya Masasi Construction Co LTD Babubhai Ladwa,alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA), Tunguu alipotembele
a jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia ramani ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipofanya ziara maalum ya kuangalia ujenzi wa majengo ya chuo hicho pamoja na mipaka ya eneo hilo jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na viongozi wa taasisi mbali mbali wakati alipotembelea eneo la Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) huko Tunguu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Prof Idriss Ahmada Rai,pamoja na viongozi mbali mbali wakati alipotembela kuona maendeleo ya hatua za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Picha na Ramadhani Othman Ikulu-Zanzibar

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!