Searching...
Tuesday, December 6, 2011

KAMPENI YA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA YAZINDULIWA DAR

Kombani akihutubia katika uzihnduzi huo.
 
Baadhi ya wageni waalikwa wakimsikiliza Kombani.
 
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia  na Wototo, Bi. Umi Ally Mwalimu pia alikuwepo.
 
Kutoka kushoto ni Mwalimu, Balozi wa Merekani nchini, Alfonso Lenhardt, Kombani na Mkurugenzi wa shirika la kimaaifa la misaada la Marekani (USAID) nchini Tanzania, Robert Cunnane, wakibadilishana mawazo.
Kampeni ya kupinga unyanyasaji wa kijinsia imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam na mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Salma Kikwete, ambaye aliwakilishwa na Waziri wa Katiba, Celina Kombani.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!