Searching...
Monday, October 31, 2011

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Azindua Tawi la Benki ya PBZ huko Chakechake Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi la Benki ya PBZ huko Chake chake Pemba,(kushoto) Mkurugenzi wa PBZ Juma Amour na (kulia) Kaimu Waziri wa Fedha Mhe,Mwinyihaji Makame.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi wa chake chake kisiwani pemba wakati wa uzinduzi wa tawi la Benki ya PBZ.
Picha na Ramadhan Othaman, Ikulu-Zanzibar

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!