
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano na wanajumuia ya Watanzania mjini Houston, Marekani. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu, Itikadi na Uenezi Sixtus Mapunda na wengine ni viongozi wa CCM tawi la Houston

Six akijitambulisha kwa wanajumuia hao


Wanajumuia wakiwa kwenye mkutano huo

Nape Nnauye na Six wakiwa na kiongozi wa wanajumuia hao

Nape Nnauye akimbeba mtoto wa kiongozi wa tawi la CCM la Houston baada ya kupigapicha ya pamoja

Wakiwa katika mapozi mbalimbali kama hivi

Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CCM tawi la Houston na wanajumuia wengine waliohudhuria mkutano huo


Viongozi wa CCM wa tawi la Houston
0 comments:
Post a Comment