Searching...
Wednesday, September 14, 2011

Lipumba Azindua Kampeni Za CUF Kwa Mkokoteni Wa Punda

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiwa na mgombea Ubunge wa chama hicho, Leopold Mahona kwenye mkokoteni wa punda katika maandamano ya wanachama kwenda katika viwanja vya kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga kwenye uzinduzi wa kampeni za chama hicho.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!