Searching...
Saturday, July 2, 2011

Kenya yaitaka AU kuimarisha usalama mashariki mwa Afrika

 Rais Mwai Kibaki wa Kenya ameutaka Umoja wa Afrika (AU) ujitahidi kuhakikisha kwamba amani inapatikana katika nchi za Sudan na Somalia.
Akizungumza kwenye mkutano wa Viongozi wa nchi na serikali wa bara Afrika unaofanyika mjini Malabo, Equatorial Guinea, Rais Kibaki amewataka viongozi wa bara hilo kulalamikia hatua ya nchi za Magharibi ya kupuuza uwezo wao wa kutatua matatizo ya Afrika. Kiongozi huyo wa Kenya amesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linapaswa kutambua na kuheshimu nafasi ya viongozi wa Afrika katika kutatua matatizo ya bara lao.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!