Mpango wa miaka kumi wenye lengo la kupunguza kwa nusu nchi zinazoorodheshwa kuwa maskini zaidi duniani unazinduliwa nchini Uturuki. Nchi hizo 48 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zinapitia hali mbaya ya umaskini, uongozi mbaya na ukosefu wa miundo mbinu.
Katibu wa masuala ya nchi maskini kwenye Umoja wa Mataifa Cheick Sidi Diarra anasema nchini maskini zinahitaji kufanya mabadilko ikiwa zinahitaji kuendelea yakiwemo uwajibikaji, uongozi bora , miundo msingi bora na kuwepo kwa wataalamu ili kuwavutia wawekezaji wa kigeni.
Nchi 33 kati ya hizo ziko kusini mwa jangwa la sahara, 14 barani Asia na nchi ya Haiti iliyo barani Amerika kusini.

0 comments:
Post a Comment