Searching...
Tuesday, May 3, 2011

China kuendelea kutoa msaada kwa nchi zilizoko nyuma kimaendeleo

Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao ambaye yuko ziarani nchini Indonesia siku ya Jumamosi amesema, China inapenda kuendelea kutoa msaada kwa nchi zilizoko nyuma kimaendeleo za Umoja wa Asia ya Kusini Mashariki bila kuweka masharti yoyote.
Bw. Wen Jiabao amesema kutokana na sababu za kihistoria, baadhi ya nchi wanachama wa Umoja wa Asia ya Kusini Mashariki bado zinakabiliwa na tatizo la umaskini, na kusema China itaendelea kutoa msaada kwa nchi hizo kama ilivyofanya zamani.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!