Searching...
Monday, February 7, 2011

Ikulu ya Marekani yatangaza mkakati wa ubunifu mpya

Ikulu ya Marekani tarehe 4 ilitoa ripoti ya "Mkakati wa Ubunifu mpya wa Marekani", ili kufafanua mpango wa rais Barack Obama wa "kupata ushindi katika siku zijazo".
Ripoti hiyo inasisitiza tena lengo la kimkakati lililotolewa na rais Obama katika nyaraka zake kuhusu hali ya Marekani, na kutangaza mipango mitano ili kutimiza lengo hilo. Mipango hiyo ni pamoja na kuendesha mtandao wa Internet bila ya waya, kufanya mageuzi ya utaratibu wa kupitisha maombi ya hataza, kuendeleza nishati zisizosababisha uchafuzi wa mazingira, kufanya mageuzi ya elimu, na kusaidia makampuni madogo na yenye ukubwa wa kati kuanzisha shughuli zao na kuongeza nafasi za ajira.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!