Searching...
Tuesday, January 4, 2011

Marekani yamwekea vikwazo mwanasheria mkuu Zimbabwe

Mshirika wa Rais Mugabe awekewa vikwazo.
Mshirika wa Rais Mugabe awekewa vikwazo.
Marekani imemwekea vikwazo mwanasheria mkuu wa Zimbabwe na kusema vitendo vyake vinadharau taasisi za kidemokrasia nchini humo.
Wizara ya fedha Marekani leo imemshutumu Johannes Tomana mshirika wa rais Robert  Mugabe kwa kuwalenga wapinzani fulani  kwa ajili ya  kuwatesa. Imesema hatua zake zinatishia utawala wa sheria nchini Zimbabwe na kuleta utete kwenye serikali yao ya  ushirikiano.
Vikwazo hivyo vina maana raia wa Marekani hawaruhusiwi kufanya biashara na Tomana na kwamba mali zake zilizoko Marekani zinazuiwa.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!