Marehemu shakir Hamdoun Al-marhubiMarehemu alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Osmania alikuwa akisoma kozi ya BCA katika chuo hicho kilichoko hapa hyderabad,mwili wa marehemu ulikutwa nyumbani kwake alipokuwa anaishi taarifa za kifo chake cha nini kimemuondoa marehemu hazijajulikana hadi sasa inasadikiwa alifariki siku zisizopungua tano nyuma mwili wake ulikutwa ndani ukiwa umevimba tena ni baada ya kutoa harufu nje ndio majirani wakashituka,mwili wa marehemu umepelekwa Gandhi hospital kwa uchunguzi zaidi
Mkiti wa kamati ya starehe TSAH mstahafu mwenye aliyevaa shati nyekundu alikuwepo kwenye mazishi na ndie aliyetayarisha hizi picha ...
walijitokeza wanafunzi wengi sana ,kuonesha kuwa bado wanampenda ndugu yaoTULIKUPENDA SANA NDUGU YETU LAKINI MWENYEZI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
tunamuomba Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pepa peponi
AMIN
























0 comments:
Post a Comment