Searching...
Wednesday, December 15, 2010

WHO imetoa ripoti ya kwanza ya kimataifa kuhusu matatizo ya ulevi

Ili kuzuia na kutibu athari za ulevi wa kupindukia na matumizi ya mihadarati, shirika la afya duniani WHO leo limezindua ripoti ya kwanza ya dunia kuhusu nyezo zinazotumiwa hivi sasa kukabiliana na hofu ya matatizo hayo ya kiafya.
Nyezo hiyo ambyo ni ramani ya matumizi mabaya ya viloe na mihadarati, imekusanya taarifa kutoka nchi 147 zikiwakilisha asilimia 88 ya watu wote duniani na imezilenga zaidi nchi za kipato cha chini na cha wastani. Dr Shekhar Saxena mkurugenzi wa WHO kitengo cha afya ya akili na matumizi mabaya ya ulevi anasema pombe na mihadarati vinaathiri mamilioni ya watu kwa njia nyingi, kutoka kuwa tegemezi wa ulevi na kuongeza matatizo mengine ya kiafya kama majeraha, ugonjwa wa moyo,HIV, hepatitis C na saratani. Jayson Nyakundi na taarifa kamili.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!