
Balozi Deng Boqing

Balozi wa China nchini Nigeria na kwenye Jumuiya ya uchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS Deng Boqing amesema katika muda mrefu uliopita, Wachina wanaoishi magharibi mwa Afrika wametoa mchango mkubwa katika kuhimiza urafiki na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika. Vitega uchumi vinavyowekezwa na Wachina hao vimetoa nafasi za ajira elfu 40 huko, thamani ya biashara kati ya China na Afrika inatarajiwa kuzidi dola za kimarekanili bilioni 7.5.


0 comments:
Post a Comment