Searching...
Sunday, October 10, 2010

China yatoa msaada wa dawa za malaria kwa Uganda


Tarehe 8 China ilitoa msaada wa dawa za malaria kwa Uganda. Balozi wa China nchini Uganda Bw. Sun Heping na waziri wa afya wa Uganda Bw. James Mugume walihudhuria kwenye hafla ya kukabidhiana dawa hizo iliyofanyika siku hiyo nchini Uganda.
Hii ni mara ya nne kwa China kutoa dawa za malaria kwa Uganda tangu mwaka 2006.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!