Searching...
Sunday, October 10, 2010

China itapanua wigo wa ushirikiano na nchi za Afrika

China itapanua wigo wa ushirikiano na nchi za Afrika ili kutimiza maendeleo ya pamoja ya pande hizo mbili.
Hayo yamesemwa na maofisa wa China kwenye mkutano na waandishi wa habari uliohusu "maadhimisho ya miaka 10 tangu Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika lianzishwe". Mkuu wa idara ya Asia ya magharibi na Afrika ya wizara ya biashara ya China Bibi Zhong Manying amesema, katika miaka 10 iliyopita, serikali ya China imetekeleza kwa makini hatua mbalimbali za kuendeleza uchumi na biashara ilizoahidi kwenye baraza hhilo zikiwemo kufuta madeni, kuongeza misaada kwa Afrika na kutoa mafunzo mbalimbali ya kuandaa wataalamu wa Afrika.
Naibu mkuu wa idara ya utoaji misaada kwa nchi za nje Bibi Gao Yuanyuan amesema China itaendelea kuchukua hatua mpya zinazolenga kuzisaidia nchi za Afrika

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!