 Polisi  nchini Ufaransa wametumia ukatili na nguvu ziada kuwafukuza wanawake  wahamiaji Waafrika na watoto wao kutoka eneo moja la Paris. Kwa mujibu  wa mkanda wa video wa dakika 30 kuhusu tukio hilo la udhalilishaji,  Polisi wa Ufaransa wametumia ukatili usio wa kawaida katika kuwafukuza  kwa nguvu wanawake na watoto wenye asili ya Afrika katika mtaa wa La  Courneuve mjini Paris. Kwa mujibu wa mkanda huo wa Video Polisi ya  Ufaransa iliwavua nguo na kuwadhalilisha watoto na wanawake hao  waliokuwa wakilia. Wahamiaji wapatao 60 wamefukuzwa bila ilani kutoka  nyumba walimokuwa wakiishi. Mashirika ya kutetea haki za binaadamu  yameanzisha kampeni ya kupinga unyama huo wa Polisi nchini Ufaransa.  Huku hayo yakijiri Rais Nicholas Sarkozy wa Ufaransa ametangaza mpango  wa kufuta uraia wa wahamiaji wa kigeni ambao wanathubutu kukabiliana na  polisi nchini humo

Polisi Ufaransa watumia ukatili kuwafukuza wahamiaji Waafrika

0 comments:
Post a Comment