 Mwenyekiti  wa Baraza la wanadhimu wakuu wa jeshi la Marekani Jenerali Michael  Mullen tarehe 1 Agosti aliposhiriki kwenye mahojiano ya kampuni ya NBC  ya Marekani, alisema Marekani ina mpango wa kuishambulia Iran, lakini  operesheni ya kijeshi siyo chaguo zuri zaidi kwa Marekani. Kwa sababu ya  matokeo yake na matatizo mbalimbali yanayoweza kusababishwa na opresheni  ya kijeshi.
Mwenyekiti  wa Baraza la wanadhimu wakuu wa jeshi la Marekani Jenerali Michael  Mullen tarehe 1 Agosti aliposhiriki kwenye mahojiano ya kampuni ya NBC  ya Marekani, alisema Marekani ina mpango wa kuishambulia Iran, lakini  operesheni ya kijeshi siyo chaguo zuri zaidi kwa Marekani. Kwa sababu ya  matokeo yake na matatizo mbalimbali yanayoweza kusababishwa na opresheni  ya kijeshi.  Kwa maoni yake, juhudi za kidiplomasia za pande nyingi na vikwazo vya kiuchumi vya kimataifa ni njia nzuri zaidi ya kuweza kuilazimisha serikali ya Iran iache mpango wake wa nyuklia.


 
 
0 comments:
Post a Comment