Searching...
Monday, June 28, 2010

MAPANGO YA AMBONI, TANGA


Mapango ya Amboni ni makubwa zaidi katika Afrika Mashariki yamejengwa kutokana na chokaa yapo km 8 kutoka Tanga Mjini.Mapnago ya Amboni ni mazuri na matunda ya malezi ya chokaa,yamejengwa na kutiwa rangi mbalimbali za kuvutia na ardhi yake ya hajabu ya Dunia.Wageni hupata hisia kwa kwenda ndani ya pango.

Mbali ya kilomita inayochukuwa kwa kutembelea inatosha kabisa kwa mtu kuelezea kwa wageni.Ni mwendo mdogo wa kutembea inaonekana urefu wote wa pango,lakini hakuna mtu aliejulikana aliwahi kugundua mipaka ya mwisho wa mapango hayo ya asili.


Ni sehemu ambayo wageni upata fursa ya kuketi kabla ya kuanza ziara yao ya kwenda kwenye pango
Hakuna shaka mapango ya Amboni ni moja ya maajabu zaidi Duniani chini ya ardhi ya asili,vivutio vilivyomo vilitayarishwa na nguvu ya asili ya malezi ya kuvutia ya chokaa na kutiwa aina mbalimbali za rangi
Mnakaribishwa kutembelea Mapango ya AMBONI TANGA,TANZANIA.
Habari na Anko Mo

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!