Searching...
Thursday, June 3, 2010

LIVERPOOL YATHIBITISHA BENITEZ KUONDOKA KLABUNI HAPO.

Liverpool wamethibitisha kocha Rafael Benitez anaondoka klabuni hapo ni baada ya kuridhiana klabu pamoja na kocha mwenyewe,makubaliano hayo yalifikiwa ni baada ya kocha huyo kuwa katika mkataba na klabu hiyo.
Kocha huyo akufikiana moja ya vipengele vya mkataba kwa kutoleta mafanikio yoyote kwenye klabu na klabu kutofuzu kwenye mashindano makubwa barani ulaya ya Champions Leugue.

Klabu hiyo sasa ipo kwenye sekeseke la kutafuta ni nani atakaeziba pengo la Benitez??ni jambo la kusubiri kwa mashabiki wa Liverpool.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!