
Taarifa zilizopatikana eneo la tukio zilidai kuwa, kibaka huyo alikamatwa akiwa katika jaribio la kutaka kuiba simu ambapo raia wenye hasira kali walimkamata kisha kumshushia kipigo kabla ya kumchoma mto hadi umauti kumkuta.
Chanzo cha Habari Bofya hapa



0 comments:
Post a Comment