Hapa M/kiti wa jumuiya ya wanafunzi Hyderabad Bw,Abdillah D.Nkya akisaini baada kupokea kitita cha rupees 10,000/= kutoka kwa balozi ambayo aliihaidi kuchangia mfuko wa jumuiya katika maafali yaliyopita
HAPA VIONGOZI TULIPATA PICS YA PAMOJA BAADA KUMALIZA KIKAO NJE YA HOTEL FORTUNE PARK ...KUTOKA KULIA NI M/KITI WA JUMUIYA TSAH BW ABDILLAH D NKYA.ANAEFUATA NI M/KITI WA KAMATI YA STAREHE TSAH DANIEL MSEMO NA MWISHO NI M/KITI WA BODI TSAH BW DANIEL MASIMBUSI
HAPA MWENYEKITI WA JUMUIYA NA M/KITI WA BODI WAKIWA NA MJUMBE WA JUMUIYA (KATIKATI)BW ABEL TABAGI WAKIWA NJE YA HOTEL YA FORTUNE PARK BAADA YA KUMALIZA KIKAO NA BALOZI KIJAZIChanzo cha habari Bofya hapa









0 comments:
Post a Comment