Searching...
Tuesday, June 1, 2010

BIRTHDAY PARTY YA FATUMA KANGE ILIYOFANYIKA HUKO BARBERQUE,MAREKANI.

Dada Fatuma Kange wa Marekani akiwa katika tafrija yake ya kutimiza miaka kadha katika umri wake akipata kumbukumbu ya pamoja na rafiki yake.
Wakifurahika kwa pamoja mambo yalikuwa safi kabisa
Kulikuwa na mnuso wa nguvu watoto na wakubwa walifurahika kwa pamoja
Mambo yalikwenda kama yalivyopangiliwa hapa Dada Fatuma akitoa nasaha fupi kabla ya mnuso huo
Akipata pongezi toka kwa marafiki zake kama ilivyo ada kwenye sherehe zote kupongezana
Mnuso ulikuwa wa maana sana
Ukafika wakati wa kucheza ni baada ya mnuso watoto walifurahi sana
Hata mchezo wa kuvuta kamba nao ulikuwepo
Kama kawaida watoto unapofika wakati wapo kwenye maeneo yaoo ya kujidai wakiruka kamba kama wapo Afrika...
Princess Lummy nae pia alikuwepo kwenye mnuso huo kama kawaida yake kila wakati tabasamu yeyeee
Dada Fatuma nae akipata mnuso ni baada ya kila kitu kukisimamia na kwenda sawa,waliohudhuria kwenye mnuso huoo wanatoa shukrani zao sana kwa dada Fatuma kwa kuwaalika katika mnuso huoo na sherehe kwenda vizuri.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!