
Licha ya uongozi ya Mikumi National Park kufanya jitihada za kuweka matuta [Bams] kwenye eneo lote la hifadhi katika barabara kuu ya Morogoro-lringa, pamoja na kuweka vibao mwanzo na mwisho wa hifadhi hiyo,bado madereva wengi wanaonekana kupuuza amri hizo na kuendelea kuwagonga wanyama ndani ya hifadhi hiyo ya Taifa.
Pichani ni 'magemu' hao wakimkatakata Nyati huyo na kugawa nyama hiyo kwa watu mbali mbali mbali waliokuwepo katika eneo hilo.
0 comments:
Post a Comment